+255 759 966 075 | Saa 2 Asubuhi - Saa 11 Jioni
โœ“ Sheria Karibu Yako

AV ViaLex
Haki na Usawa Mkononi Mwako

Karibu AV ViaLex โ€” jukwaa la kisasa la huduma na elimu ya sheria nchini Tanzania. Tunakuwezesha kupata elimu ya sheria kwa lugha rahisi, ushauri wa kisheria kwa njia ya kidigitali, na kuunganishwa na wataalamu popote ulipo.

Elimu ya Sheria kwa Umma
Ushauri wa Kisheria kwa Simu na Mtandao
Maboresho ya Kisheria Mahakama Mbalimbali Nchini
Mfumo Salama wa Miadi ya Kidigitali

Haki na Katiba

Elimu ya kisheria kwa umma.

Katiba 1977 KAZI

Salama na Faragha

Taarifa zako zinalindwa kwa usiri mkubwa.

Kuleta Uelewa na Usaidizi wa Sheria Kiganjani Mwako

AV ViaLex imeundwa kuwa kiunganishi kikuu cha kidigitali kati ya wananchi na sheria nchini Tanzania. Tumeondoa ugumu wa lugha ya kisheria na kurahisisha upatikanaji wa haki kwa kutoa elimu iliyochambuliwa vizuri na kuruhusu mawasiliano ya haraka na wanasheria waliohitimu.

AV ViaLex ni Njia ya Sheria kwa Mwananchi wa Tanzania

Jina AV ViaLex linatokana na maneno ya Kilatini Via, yaani njia au mwongozo, na Lex, yaani sheria. Hivyo AV ViaLex ni jukwaa linalompa mwananchi mwanga wa kisheria, taarifa muhimu, na msaada wa kidigitali popote alipo.

Justice Within Reach Your Digital Legal Partner Sheria Karibu Yako Empowering Justice Through Technology

Dira Yetu

Kuwa jukwaa bora na linaloaminika Tanzania kwa utoaji wa huduma za kisheria kidigitali na elimu ya sheria kwa jamii.

Dhima Yetu

Kutoa elimu ya sheria kwa lugha rahisi, kurahisisha ushauri wa mtandaoni, na kuwaunganisha wananchi na wataalamu kwa usalama.

Ufikiaji wa Kitaifa

Mfumo umeandaliwa kuwafikia wananchi wa mikoa yote, kutoka Dar es Salaam, Lindi, Mwanza, Arusha, Dodoma na maeneo mengine.

Faragha na Weledi

Huduma za msaada wa awali, call center, na miadi hutolewa kwa kuzingatia usiri wa taarifa, heshima kwa sheria, na uwajibikaji.

Huduma Zaidi Ndani ya Mfumo wa AV ViaLex

AV ViaLex inaleta elimu, msaada, updates na uunganishaji wa wataalamu katika sehemu moja inayomsaidia mwananchi kuelewa hatua zinazofuata.

Anza Kuweka Miadi
Elimu

Elimu ya Sheria kwa Umma

Articles, maswali na majibu, video, audio na programu za kuongeza uelewa wa sheria kwa lugha rahisi.

Mwongozo

Legal Help Center

Mwongozo wa hatua za kisheria, haki za mwananchi, namna ya kufungua au kujibu kesi, na ushauri wa awali.

Faragha

Private Legal Call Center

Msaada wa haraka kwa simu au mtandao kwa maswali binafsi yanayohitaji usiri mkubwa na mwongozo wa kitaalamu.

Updates

Legal Updates na Court Decisions

Taarifa za sheria mpya, maamuzi muhimu ya mahakama, mabadiliko ya kanuni, na uchambuzi wa kesi muhimu.

Wataalamu

Lawyer Connection Platform

Kuunganisha wananchi na mawakili au wataalamu wa sheria kulingana na aina ya changamoto na eneo la huduma.

Mada

Maeneo Mengi ya Sheria

Tunagusa sheria za kazi, ndoa na mirathi, ardhi, haki za binadamu, biashara, jinai, mikataba na taratibu za mahakama.

Kutoka Swali la Kisheria Mpaka Miadi Iliyothibitishwa

Anza Kuweka Miadi
1

Chagua Suala la Sheria

Mwananchi anachagua eneo kama ardhi, ndoa, mirathi, mikataba, kazi, jinai au haki za msingi.

2

Chagua Tarehe na Njia

Kalenda ya mfumo inaonyesha muda ulio wazi kwa simu, WhatsApp, Zoom au kikao kingine cha kidigitali.

3

Jaza Taarifa na Malipo

Mtumiaji anathibitisha taarifa na kulipia kupitia M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au kadi.

4

Pokea Mwongozo

Baada ya uthibitisho, mwananchi hupokea maelekezo ya kikao na support ya faragha kutoka kwa timu.

Huduma za Sheria Zinazofikika, Salama na Rahisi Kuelewa

AV ViaLex inalenga kumsaidia mwananchi kupata elimu ya sheria, msaada wa awali, taarifa za kisheria, na kuunganishwa na wataalamu kwa njia ya kidigitali yenye faragha na urahisi.

Huduma Zinapatikana kwa Urahisi Mwananchi anaweza kupata mwongozo wa kisheria kupitia simu, mtandao, au maudhui ya kujifunzia.
Elimu kwa Lugha Rahisi Masuala magumu ya sheria yanafafanuliwa kwa lugha inayoeleweka na mifano ya maisha halisi.
Faragha na Usalama Taarifa za wateja na maswali binafsi hushughulikiwa kwa usiri na uangalifu mkubwa.
Kuunganishwa na Wataalamu AV ViaLex husaidia wananchi kuunganishwa na mawakili au wataalamu kulingana na changamoto zao.

Misingi Inayoongoza Huduma za AV ViaLex

Uadilifu
Uwajibikaji
Usiri wa Taarifa
Heshima kwa Sheria na Haki
Weledi
Huduma Bora kwa Jamii

Mada Zinazowagusa Watanzania Wengi

Mada Zote โ†’

ARDHI

Migogoro ya mipaka, hati miliki, na taratibu za kununua au kuuza ardhi na nyumba Tanzania.

Angalia Makala โ†’

NDOA/FAMILIA

Taratibu za ndoa, talaka, mgawanyo wa mali, matunzo ya watoto na familia.

Angalia Makala รขโ€ โ€™

MIRATHI

Usimamizi wa mirathi, wosia, haki za warithi, na mgawanyo wa mali za marehemu.

Angalia Makala โ†’

KAZI

Mikataba ya kazi, kufukuzwa kazi kinyume cha sheria, mafao, na haki za mfanyakazi katika CMA.

Angalia Makala โ†’

JINAI KWA UJUMLA

Haki za mtuhumiwa wakati wa kukamatwa na polisi, dhamana, na jinsi ya kufuatilia kesi mahakamani.

Angalia Makala โ†’

BIASHARA/KODI/MIKATABA

Sajili ya kampuni BRELA, leseni za biashara, ulipaji kodi TRA, na mikataba ya kibiashara.

Angalia Makala รขโ€ โ€™

SHERIA YA MTOTO

Haki za mtoto, ulinzi dhidi ya ukatili, malezi, matunzo, na wajibu wa wazazi.

Angalia Makala โ†’

HAKI ZA BINADAMU

Haki za msingi za kikatiba, haki za wanawake na watoto, na utaratibu wa kudai haki inapokiukwa.

Angalia Makala รขโ€ โ€™

MADAI KWA UJUMLA

Madai ya fedha, fidia, mikopo, migogoro ya kiraia, na hatua za kufungua shauri.

Angalia Makala โ†’

Jifunze kwa Kusikiliza na Kutazama

Nenda Kwenye Hub โ†’

Maneno ya Wananchi Waliotusaidia

โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…

"Nilikuwa na mgogoro mkubwa wa kiwanja cha mirathi cha baba yangu kule Kigamboni. Kupitia makala zao za ARDHI na ushauri wa simu walionipa hapa, nimeweza kusimamia haki yangu mpaka leo mgogoro umeisha salama."

Wooden legal gavel

- Juma Hamisi, Kigamboni, DSM

โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…

"Nilipewa onyo la maandishi lisilo na ukweli na mwajiri wangu. Kupitia mwongozo wenu niliweza kujitetea kwa usahihi kabisa."

Brass justice scale

- Sarah John, Kisutu, DSM

Kuwa Mwanachama wa AV ViaLex Leo

Jisajili Gold kwa 5,000 TSH kwa mwezi au Premium kwa 10,000 TSH kwa mwezi ili kufungua Maktaba, multimedia bila kikomo na huduma za miadi.

Jisajili Uanachama

AV ViaLex ni Njia ya Sheria kwa Mwananchi wa Tanzania

AV ViaLex imeundwa kuwa kiunganishi kikuu cha kidigitali kati ya wananchi na sheria nchini Tanzania. Tumeondoa ugumu wa lugha ya kisheria na kurahisisha upatikanaji wa haki kwa kutoa elimu iliyochambuliwa vizuri na kuruhusu mawasiliano ya haraka na wanasheria waliohitimu.

Maktaba ya Sheria ya Kidigitali

Tafuta na ujifunze sheria za Tanzania kwa lugha rahisi na mifano halisi.

Mada Zilizoangaziwa hivi karibuni

Andika Review Kuhusu Huduma za AV ViaLex

Shiriki uzoefu wako na uwaonyeshe wengine jinsi huduma za AV ViaLex zilivyokusaidia kupata elimu, mwongozo au msaada wa kisheria.

Multimedia Legal Resource Hub

Tazama video zetu za elimu, sikiliza masomo kwa sauti (Audio/Podcasts), na pakua vitabu au vipeperushi vya sheria (PDFs).

Video za Elimu

Bonyeza kucheza elimu ya sheria
Tazama Sasa

Masomo ya Sauti

00:00 / 00:00

Pakua Vitabu/Vipeperushi (PDFs)

Mfumo wa Wanaotafuta Ushauri wa Kisheria

Weka miadi sasa ili kuongea kwa siri na wataalam wetu wa sheria kwa simu au mtandao.

1
2
3
4
Mada ya Tatizo Tarehe & Njia Taarifa Zako Malipo

Je, changamoto yako inahusu mada gani ya kisheria?

Chagua tarehe, saa, na njia ya kuongea na mwanasheria

Njia ya Mazungumzo:

Weka taarifa zako na ufafanuzi mfupi wa tatizo

Lipia gharama ya ushauri (TSH 10,000) kukamilisha miadi

Gharama ya Miadi: 10,000 TSH

Chagua Njia ya Malipo:

Hatua za M-Pesa:

Lipa Namba ya mitandao yote 355459885 VIALEX 93
  1. Piga *150*00#
  2. Chagua 4 โ€” Lipa kwa M-Pesa
  3. Weka Lipa Namba 355459885
  4. Weka kiasi 10,000 TSH
  5. Hakikisha jina la mfanyabiashara linaloonekana ni VIALEX 93
  6. Thibitisha maelezo na uweke PIN yako

Usitumie โ€œTuma Pesa kwenda mtandao mwingineโ€. Tumia Lipa kwa Simu/TANQR. Usilipe kama jina VIALEX 93 halionekani kabla ya kuweka PIN.

โœ“

Ushauri Umewasilishwa!

Ndugu Juma Hamisi, miadi yako ya tarehe 2026-06-01 imekubaliwa. Umepokea ujumbe mfupi (SMS/WhatsApp) wa uthibitisho sasa hivi.

Mada ya Sheria: Ardhi
Njia: Phone Call
Saa: 09:00 Asubuhi
Transaction ID: QP57JG89DF

Tuko Tayari Kukusikiliza na Kukuongoza

Tuma ujumbe, piga simu, au fika ofisini kwa mwongozo wa awali kuhusu huduma za AV ViaLex.

Simu +255 759 966 075

Kwa maswali ya haraka na mwongozo wa awali, huduma ipo Jumatatu hadi Ijumaa.

Barua Pepe msaada@avvialex.co.tz

Tuma maelezo mafupi ya changamoto yako au swali kuhusu huduma zetu.

Ofisi Kuu Kisarawe, House No. 15

Ziara za ofisini ni kwa miadi ili kuhakikisha faragha na muda wa kutosha.

Tufuate Mitandaoni

Tuma Ujumbe

Tutakujibu kupitia simu au barua pepe uliyoacha. Usitume nyaraka nyeti mpaka uombwe rasmi.

Kisarawe, House No. 15

Fungua Ramani

Chagua Gold au Premium kuingia kwenye Maktaba ya Sheria

Gold ni 5,000 TSH kwa mwezi: makala 10, multimedia bila kikomo na miadi kwa 5,000. Premium ni 10,000 TSH kwa mwezi: makala, multimedia na miadi bila kikomo.

Ingia

Jisajili

Huna barua pepe? Acha sehemu hii wazi; utatumia namba yako ya simu kuingia.
Malipo ya Uanachama 5,000 TSH

AV ViaLex Control Center

Dhibiti maudhui, fuatilia miadi ya wateja na kagua mapato yaliyokusanywa.

Admin Mode (Mhariri Mkuu)

0

Wanaotembelea Maktaba

0

Jumla ya Miadi yote

0

Wanachama Waliosajiliwa

Executive

Finance subsystem is separately locked

Ratiba na Miadi ya Wateja

Unaweza kubadilisha hali ya miadi (Iliyothibitishwa / Iliyokamilika).
Mteja Namba ya Simu Mkoa Mada ya Ushauri Njia Tarehe/Saa Malipo Hali (Action)

Menejimenti ya Wanachama

Ona wanachama wote, mawasiliano yao, aina ya akaunti, hali ya akaunti na hatua za kudhibiti.
0 Jumla ya Wanachama
0 Premium
0 Hai
0 Waliozuiwa
Mwanachama Mawasiliano Mkoa Aina Alijiunga Mara ya Mwisho Hali / Hatua

Ongeza Makala Mpya kwenye Maktaba

Jaza maudhui ya Kiswahili na English. Makala itahifadhiwa kwenye database na kuonekana mara moja kwenye Maktaba.
Lugha zote mbili zinahitajika Kiswahili + English
Ctrl+V huhifadhi bold, italics, underline, aya, spacing, orodha, majedwali na alignment/justification.
Ctrl+V preserves bold, italics, underline, paragraphs, spacing, lists, tables, and alignment/justification.

Maudhui Yaliyopo

Hariri makala zilizochapishwa tayari kwenye Maktaba.
Kichwa Tarehe Muda Hatua

Chapisha Swali na Jibu kwenye Jukwaa Huru

Andika swali na jibu kwa Kiswahili na English. Yatahifadhiwa kwenye database na kuonekana kwenye Jukwaa Huru.
Mpangilio wa Word, ikiwemo justification na spacing, utahifadhiwa.
Word formatting, including justification and spacing, will be preserved.

Maswali Yaliyopo

Hariri majibu yaliyochapishwa kwenye Jukwaa Huru.
Swali Tarehe Hatua

Menejimenti ya Multimedia

Ongeza na dhibiti video, audio na PDF zinazoonekana kwenye Multimedia Hub.
Aina Kichwa Label Muda Hali / Hatua

Kagua na Ufute Ushuhuda wa Wateja

Dhibiti kile wanachokiona wananchi wengine kwenye ukurasa wa mwanzo.

Badilisha Nywila

Chagua sehemu hii tu ukiwa umeingia kama mhusika wa akaunti.

Badilisha Admin Password

Badilisha Executive Password

Fungua Finance Executive Access kwanza ili kubadilisha nywila hii.

Developer Archive Rekodi zilizofutwa huhifadhiwa kwa miezi 6. Eneo hili linafunguliwa kwa nywila tofauti ya developer pekee.

Ongeza Rekodi ya Fedha

Admin anaweza kuongeza rekodi ya fedha pekee. Usimamizi, summary na export hubaki kwa uongozi.

Finance Executive Center

Eneo la uongozi pekee kwa kusimamia malipo, mapato, miamala na rekodi za fedha.
Jumla ya Mapato 0 TSH
Jumla ya Matumizi 0 TSH
Salio Halisi 0 TSH
Yanayosubiri 0 TSH
Reference Aina Mteja Kundi Njia Kiasi Tarehe Hali / Hatua